Wateja wa mitumba Halisi

Mzigo mpya kuwasili soon,,,kaa mkao wa kujiachia,,,dresses, sketi ,suruale, office shirts, nguo za kutoea na shragz,,wewe tu ushindwe,,,

Stay tune,,, uploading pictures soon

4 comments:

Anonymous said...

how soon jamani we cant wait

Anonymous said...

hivi wewe mdada wa mitumba halisi, mbona unatucheleweshea mabo lakini? au huna mzigo wa kutosha unatuzuga nini? weekend hii tulitaka kujiachia nashangaa mpaka sana hakuna kitu, hatutaki ahadi lete mambo !

grace - kijitonyama said...

na kweli bwana mtu unatuahidi kama watoto wadogo kama hujaleta mzigo wewe sema tu ukweli sio kutupa tamaa and then hola hana kitu. haya tuambie lini unaleta mzigo hizo soon zako tushachoka nazo

Mitumba Halisi said...

Mzigo umeingia jana wapenzi, ndio najipanga hapa, ili nirushe, weekendi hii naanza kuuza, nisameheni sana, nguo tunasaka mbaliiiiii