Scarf kama za mamtoni zinapatikana Mitumba Halisi karibuni


5 comments:

Eve said...

Hi,mna nguo nzuri nimezipenda,je nikitaka kwa jumla inakuwaje?

Mitumba Halisi said...

Kwa jumla unapata pia, tupigie simu au nipe number yako tuwasiliane kwa maongezi zaidi

Eve said...

Sawa nimechukua no, nitakupigia tuongee vizuri.

Unknown said...

mnapatikana wapi

Anonymous said...

nimevutiwa sana na hii blog ,its real nice with the FULLY UPTODATE OUTFIT,(marvelous)lakini naona kama unadeal na nguo za kike tu,nomba uweke na za kiume ,you real gona make it.keep it up mdada.Big up.Ernest