Mawazo yenu

Sehemu hii ni page au nafasi nawapa wateja na hata wasio wateja kuniandikia mawazo / recommendaion /suggestion, kuhusu duka hili letu la  Mitumba Halisi online,,,,,,hapa tutakuwa tunawasiliana moja kwa moja na  mimi .

Kuna mawazo mengine hayahusu post so sio lazima kuyaweka chini ya post, unaweza kuniambia moja kwa moja hapa. na sehemu hii inakuwa rahisi kujibu chochote na wewe kufuatialia jibu nalotoa kwako bila ya kutafuta post ulioandikia comment/swali au recommendation zako, 
  
Note:kuwa na page hii haimaanishi usiandike comment chini ya post iliyokuvutia, hii ni kama unataka majibu ya haraka haraka kutoka kwangu.

Nashukuru sana kwa kutembelea blog hii na nashukuru zaidi kwa wateja wote wa Mitumba Halisi, God bless you all.

41 comments:

Rose said...

You are so thoughtful Mitumba Halisi,,,,,mimi bado nataka sana magauni ya cotton umbo langu kubwa navaa size 18-20 plizz tujulishe hapa hapa once ukipata,nashukuru
your mteja mwaminifu

Mitumba Halisi said...

Bila shaka ,nitakujulisha ...Karibu sana

Information Unit Ministry of Livestock and Fisheries Development said...

aisee kazi nzuri sana kwa kweli nimefurahi kupita maelezo. mimi napenda kupata nguo zangu mwenyewe na pia za kuuza kama una ruhusu na handbags mana mimi ni mfanyakazi serikalini lakini nauzauza vihereni, bangili,cheni nk.

mitumbahalisi said...

heloo @information unit,,,nguo zipo za kila aina na ukipenda kiwalo chochote tujulishe na utakipata, kwa swala lako lako la kuuza pia hilo linawezekana ,naomba tuwasiliane kupitia number za simu zipo katika page ya mawasiliano ili kuongea zaidi...karibu sana

viola said...

Hello mdada wa mitumba halisi! mimi nipo arusha. umesema kuwa unauza nguo kwa bei ya jumla, that means huuzi nguo moja moja. swali langu ni hili...ni idadi gani ya nguo mtu anatakiwa kununua kwa mara moja? nikija dar nitakutafuta. Nimependa blog yako, Hongera!

Mitumba Halisi said...

Hello Rafiki, yes nauza nguo jumla na reja reja, unakaribishwa kununua nguo moja kama unatakata, sio lazima kwa jumla, karibu sana Dar na usiache kunitafuta ukija, japo hata huko Arusha kama size yako unaijua vizuri nawza nikakutumia nguo yeyote ulioipenda dia , fell free to call me au text nikupigie.

viola said...

Asante kwa majibu mazuri. sasa kama ukinitumia inabidi nitume na hela ya kutuma huo mzigo? au hiyo hiyo hela ya nguo inatosha? huwa navaa size 14 lakini now naona nimeongezeka kidogo so huwa napenda nijaribishe nguo kwanza niridhike inavyonifit then ndo nanunua.

Mitumba Halisi said...

@Viola, mzima? yes dia , kwa kukusafirishia utabidi uongeze kidogo garama za usafiri, asahnte kwa kunipa size , sasa mzigo wetu ukifika tu yale magauni size yako nitakutumia personal picture kwa email kwanza, pliz send me a black mail kwa tungalady@yahoo.com ili nipate email adress yako, karibu sana

viola said...

i like that red dress...lakini bahati mbaya imeshauzwa

Mitumba Halisi said...

Hello Viola, endelea kutembelea am sure utapata ukipendacho, karibu sana

Anonymous said...

Hi! mimi nimependezwa na blog yako, ninapenda nguo za cotton hasa dresses. skirts na blauses.je kwa sasa unazo au? Its Phina

Mitumba Halisi said...

@Phina nguo zipo karibu sana

Anonymous said...

Ok, nahitaji dress, je waweza nitumia picha ili nichague kwa email hii jthecla@yahoo.com? If so please na hbag ulizonazo kwa sasa tafadhali.

viola said...

i admire your work, as i am a housewife now am checking your blog like 5 times daily.
naona umeweka blouse size yangu 14. Natarajia kuja dar siku yoyote, nitatembelea hicho kijiwe ulichofungua nikuungishe. keep up a good work.

Mitumba Halisi said...

Hello Viola, thanks darling, karibu sana ukija Dar.

KM said...

Hongera sana dada Christina......kwakweli umefikiria jambo zuri na nyenzo nzuri yakutangaza biashara yako....

Nice Blog & Keep Up tha good work

Regards,
KM

Mitumba Halisi said...

Thanks dear, nyie ndo mnanipa nguvu ya kuendelea kwa support yenu, Mungu awabariki wote.

Anonymous said...

nahitaj pochi so lini zinakuja?

Anonymous said...

aiseh napenda sana kuduma yenu,christina nakupa pongezi maana ni wanawake wachache wenye moyo na ujasiri kama wako wa kufanya hivi.

Anonymous said...

Hello dia, nimependa sana blog yako kwakweli sisi wadada tunapata shida sana ya kutafuta nguo sasa wewe umetuokoa, good work n keep it up! sasa nikitaka nguo niliyopenda hapo unaweza kuniletea?? mimi niko mikocheni!!

Mitumba Halisi said...

Hello wadau, pochi bado hazijaja, punde zikija nitarusha picha ,,, Yes dada wa mikocheni kama nguo ipo naweza kukufikishia mikocheni, karibu

Asahnteni kwa kunipa moyo, najitahidi kuwaletea vitu mvipendavyo

Anonymous said...

hello,hizo flat shooz ca red zipo?? na sandals ukihesebukutoka juu ni za 14 zipo??

Anonymous said...

Twasubiria mzigo mpya waja lini??

mapaja mazuri 4real said...

nashauri unapo post picha uzipe number hii inatusaidia kuchagua kiurahisi.

ziwekee caption ambayo utazipa namba na bei.ili iwe rahisi kwetu kuchagua bila kukusubiri ujee ujibu

Mitumba Halisi said...

Bila shaka, nitajitahidi

salama said...

kwa mtu anayetaka za kufanyia biashara bei inapungua au inakuwaje

Mitumba Halisi said...

Tunauza kwa watu wanaotaka kufanya biashara na bei itakuwa kwa jumla ....karibu sana

Anonymous said...

Habari,Samahani nakupigia simu toka jana Haupokei ila mimi niko Lushoto nataka tuelewane kwenye swala la kuchukua nguo za biashara,tafadhali sana naomba tuwasiliane 0714-101838/0752-346930

Unknown said...

sawa nimewakubali nataka kununua kwenu mitumba kwa balo nitapata na sh ngapi na sh ngapi

Mitumba Halisi said...

Hello,,, bahati mbaya siuzi kwa balo nauza kwa peace na kwa jumla,,yaani mtu akitaka jumla bei inapungua kuanzia peace kumi, karibu sana

Yustino said...

Hello,
Mimi pia nahitaji nguo za mitumba nzuri za kuuza huku Dodoma hasahasa za wadada wa vyuoni.Hope unajua nguo ambazo wadada wa vyuoni huwa wanapendelea kuvaa...
Umesema unauza kwa jumla ila huuzi kwa balo, so mi nikitaka nguo hizo ninatakiwa kuchagua mwenyewe nguo ninazohitaji then ndio tunapunguziana bei ya hizo nguo kwa ujumla au inakuwaje?
Tafadhali nijulishe ndugu.. Mi nitakuwa mteja wako wa kudumu wa nguo hizo na tutafanya biashara ya uhakika. Please let me know ili nikutafute tuongezee vizuri ndugu.

Mitumba Halisi said...

Hello Yusinto,, sorry computer yangu ilikuwa inanisumbua kipindi kirefu sana... kukujibu ni kwamba utachagua nguo unazozitaka na nitakuwa nakutumia huko dodoma au unaweza kuwa unakuja kuchukua... nipigie simu nakaribia kuchukua mzigo ili uje uchague....karibu sana.

Mitumba Halisi said...

Hello Yusinto,, sorry computer yangu ilikuwa inanisumbua kipindi kirefu sana... kukujibu ni kwamba utachagua nguo unazozitaka na nitakuwa nakutumia huko dodoma au unaweza kuwa unakuja kuchukua... nipigie simu nakaribia kuchukua mzigo ili uje uchague....karibu sana.

Unknown said...

Habar? samahani napenda uliza kwamba naweza pata jinsi za mtu,ba grad A kwa bei gan balo moja?

Unknown said...

Sema upo sehem gan acha kubabaisha watu nyie matapel ndug wateja msitume hela bila kuonana naye akukabidhi

Unknown said...

Sema upo sehem gan acha kubabaisha watu nyie matapel ndug wateja msitume hela bila kuonana naye akukabidhi

Unknown said...

Nataka nianze kuuzA mitumba

Anonymous said...

Mimi kuna mtu amenishauri kwamba anataka kunisupply container la mitumba toka Marekani mitumba grade A. Naomba ushauri wako je soko lipo hapa Tanzania?

Unknown said...

Mimi kuna mtu amenishauri kwamba anataka kunisupply container la mitumba toka Marekani mitumba grade A. Naomba ushauri wako je soko lipo hapa Tanzania?

Unknown said...

Naomba unijulishe nitapata namba zako unipe ramani

Unknown said...

Nataka niwe miongoni mean watu watakaokua nanunua baloo za mitumba lakini diwajui,sijawshi nunua baloo kwenu nsfanyeje?