Mawasiliano

Mitumba Halisi inapatikana kupitia simu zifuatazo

0754710807 / 0758848499

email yetu kwa orders zako za nguo:

mitumbahalisi@yahoo.com

19 comments:

Anonymous said...

Habari yako,

For me this is my first time to visit blog yenu na nimeipenda,Lakin naomba kupewa direction mko located wapi kwa hapa Dar

I hav seen my o level classmet Viola Urassa

Thank you and keep up the good work

Regards

Jojoryno

Mitumba Halisi said...

Helo mrembo, well sisi kama hivi tunapatikana hapa hapa online, na kama umependa kitu write e an email via tungalady@yahoo.com or call and I will get back to you kwa kitu unataka, au we can always meet on weekend and you shop till you drop kwa raha zako wewe mwenyewe

Anonymous said...

Asante,

I shall contact you soon

Kazi njema
Jojoryno

Anonymous said...

Kwa kweli tunashukuru sana kwa kutupunguzia adha ya kwenda Tandika,maana ni wasiwasi mkubwa pochi unashikilia mpaka misuli inakutoka kwa kuogopa kuibiwa, hiyo moja , mbili kazi hizi za kikabaila si mpaka upate muda wa kwenda huko kuitafuta? asante sana mitumba halisi.

Guys these mitumbas are so unique try them.

Rgds
HPT

mitumbahalisi said...

Shukran, Bila shaka rafiki, nitaendelea kuwaletea nguo nzuri kazi yenu ni kuvaa tu

Anonymous said...

Good job my dia.....will contact you soon for ofisi and causual wear.

Mummy Precious.

Anonymous said...

mkowapi, kwani nivizuri, mtu kupita kujaribu na kununua kama kwa hapa, dar es salaam, minaugua na mitumba, pendeza kweli, ha unatokaga kivyvako vyako no dar combine, etieeeeeeeeeeeeeee

Mitumba Halisi said...

hello, sisi tuko zaid mobile na online kwa sasa, kama unaijua size yako vizuri unaletewa mpaka ulipo nguo unayoitaka , kama unaishi maeneo karibu na mlimani city basi tunafika mpaka kwako. karibu sana

Anonymous said...

Ni vyema mkawa na selling point ili mtu anayetaka kuja hapo aje kwa wakati wake pia hii huduma nyingine ziendelee kwa wale watakaotaka online kwa kukosa muda wa kusagulasagula,cause naweza kuagiza halafu nikijaribisha nisikipende itakuwa kama usumbufu fulani and wastage of time and money to you cause you will be incurring transport cost, ila nikija kwenye selling point naweza kuona na kuchagua ninayoipenda. Huu utaratibu bado ni mpya sana kwa Watanzania.Hayo ni maoni tu!

Hair graphix solution said...

Hello Mitumba halisi,
Tunashukuru kwa kutuletea hii huduma lkn km mdau hapo juu alivyoshauri tupe selling poin moja hata km kwa week mara moja si mbaya tunaweza kuja especially jumamosi mchana tunakuwa off duty by that time...asante

Yanina Yanina

Anonymous said...

SELLING POINT NI MUHIMU SANA.

Anonymous said...

KWA WATU WA MIKOANI TUTAPATAJE?

Anonymous said...

Ni muhimu kusema selling point, maana wengine nguo mpaka ufanye fitting ndio ulidhike.
Pia ni vema kusema jinsi watu waishio nje ya Dar wanaweza kupata hizo nguo. HONGERA SANA, KEEP IT UP

Anonymous said...

Hello mitumba halisi,hii ni mara yangu ya kwanza kuvisit humu,nimependa vitu vyenu vizuri sana.Nimemuona my school mate Chiristina Tungaraza(moro junior seminary),hongera sana,na umependeza.
Nitawapigia soon,tukutane nichague nnavyovitaka.

Anonymous said...

Hi! Blog yenu ni nzuri ,lakini ni vema mkawa na mahali maalum ambapo mtapatikana kirahisi, hii itasaidia kwa mteje kuja kuchagua nguo anayopenda na kumtosha vizuri.

Anonymous said...

me sina mengi zaidi but wenzangu wamemaliza yote,mimi kila siku siachi ku-visit hii blog yenu ili kuangalia nguo.me ni mnene na pia napenda sana nguo za mitumba hivyo nnapenda kama mngekuwa na selling point ili wengine tuje tujisagulie na kujipimisha wenyewe na kujiona pia kwenye likioo likubwa hapo kwenye selling point.please msichelewe kwa hili na nina imani kuwa patakuwa hapatoshi.mlifanyie kazi hili jamani, am dying nikiona hao akina dada wanavyo pendeza hapo juu

Mitumba Halisi said...

Habari wateja wote, nashukuru kwa ujumbe mbali mbali na jinsi ya kuboresha hii kazi yetu. kweli kuna umuhimu wa kuwa na selling point na tuko katika maadalizi na kwa uhakika mwisho wa February tutawatangazia rasmi wapi pa kutupata kwa wale mnaopenda kuja kijiweni. lakini kama core business yetu bado tutakuwa tunauza online na kufika mahala ulipo kwani tunaamini kuwa sio wote wanapenda kuja kijiweni. Naomba uingie katika page nyingine hapo juu inaonyesha Location/ Online shopping kwa maelezo zaidi ya jinsi ya kupress order yako. Karibuni sana sana sana .

Anonymous said...

tunawashukuru sana kiukweli leo hii ndiyo mara yangu ya kwanza kuona hii blog na nimeshangaa maana jumamosi nimeporwa pale karume kwa kufuata magauni nimeumia jamani, tunawashukuru ila ushauri wangu na nguo za watu wanene muwe nazo maana mimi ni bonge na ninapenda magauni tuu

Anonymous said...

ndugu yangu mimi nauza mitumba ila yakawaida.Je naweza kuja kufungasha hapo kwako kwa bei ya jumla na kuja kuuza kwa mojamoja nikapata faida?

Mimi niko Mwanza