Place your order now

Cha kuzingatia wakati wa kununua nguo online:
Mbali na kujua unavaa size gani ya Marekani au UK, pia toa details zaidi katika inch au centimeters mfano: kifua navaa 34 na hips 52, hii inakuwa rahisi zaidi kwako na kwetu.

Online Orders:
Kwa mtu ambaye anataka kununua nguo online tafadhali tumia email hii mitumbahalisi@yahoo.com kwa maelezo ya binafsi zaidi kati ya mimi na wewe ,na ili kujua nani ka press order wa kwanza endapo imetokea wateja wawili wanataka nguo moja.

Karibu sana

5 comments:

Anonymous said...

NAHITAJI H/BAG YA NNE TOKA JUU. NITAIPATAJE NA NI BEI GANI

Mitumba Halisi said...

Hello, sorry, mabag yote yameshanunuliwa, tunatagemea mzigo mpya wiki ijayo, plizz usiache kutembelea blog

Anonymous said...

nahitaji hicho kigauni ya tisa kutoka juu bado ipo? niko dom 0718 445859

Anonymous said...

mimi natafuta winter jackets nipo arusha ila kabla sija press order ningependa kujua gharama yake

Unknown said...

Nguo za ndani za mitumba

We collect clothes across UK and owning a sorting facility in Lithuania.
We do African grades in small bags as well in big bales.
Origin - UK.
Prices and quantities are negotiable.

We have 1 container ready for East African market now.
A discount will be offered for winter mix orders.

Please feel free contacting us sales@second-handuk.com or visiting our factory at Europos pr. 77, Kaunas, Lithuania

Best regards,

Mr. Evaldas,
+370 652 96166