Nguo zetu








































































































































26 comments:

Anonymous said...

hongera mpendwa,
tunaomba vigauni vya kazini na kanisani, simple and nice zifike magotini ukipata cotton ni nzuri zaidi

mitumbahalisi said...

Thanks rafiki, nitawaletea magauni hayo very soon.

Anonymous said...

Dada samahani naomba kujua gharama ya hiyo skin jeans nyeusi na maxdress ya black & white.

Mdau wako, Morogoro

Mitumba Halisi said...

Mambo mdau wa Morogoro, Gauni ilikuwa inauzwa 16,000/= na jeans 12,000/= ila zimeizwa zote kwa sasa, endelea kuangalia humu nguo zingine zaja,,,Nashukuru kwa kutembelea blog ya Mitumba Halisi

Anonymous said...

mimi nimependa sana nguo sema mimi mpana sana navaa hips 60 ntapata kweli

tumtum said...

mamii picture no 18 na 80 unazo instock au umeshauza?

Anonymous said...

Asante dada, naomba ukileta mzigo mwingine nijulishe japo kwa sms namba yangu 0756 875662. Kazi njema.

Mdau Morogoro.

mitumbahalisi said...

@tumtum, sorry nguo hizo zimeshauzwa ,

mitumbahalisi said...

@mdau wa morogoro..nimeandika number yako will update u soon, karibu sana

Anonymous said...

Kila nguo weka namba na size zilizopo kuokoa muda

Anonymous said...

Nguo nzuri sana ila kwa wenye mashep yao

Anonymous said...

nimependa hizo nguo sana dada tena sana espcly za kazini niko pamoja na anymous wa jan 15 na pia kila nguo bei yake plz naomba uchukue no yangu ukija mzigo unijulishe plz dada 0718022227

Anonymous said...

KUNA GHARAMA ZA KUTUMA MIKOANI?

Anonymous said...

Nguo ziko poa sana hizo mitumba halisi inapatikana wapi kwa sie wa dar tuweze kuja kuangalia kabisa dukani?Pia mzigo huwa unaingia siku gani?

Anonymous said...

nimezipenda but mie mnene pia mrefu sana sasa sijui mtanisaidiaje ila napenda magauni ya kiofisi na kanisani yawe wamefika magotini, material ya cottoni na za rangi moja kwa ajili ya ofisini na hayo ya kanisani mchanganyiko je naweza kuyapata? au mnapatikana maeneo gani ili niweze kuja mnione nilivyo na incase ikapatikana nguo saizi kubwa mnijulishe.

Anonymous said...

Duh, mna vitu vizuri sana, mko wapi nije nichague vilivyopo, napenda sana magauni ya plain colours,urefu 38, kifua 42, hips 44, nijulishe 0713 270 848, nitakufuata, hata Jumapili ikiwezekana

Anonymous said...

jibu basi mko wapi makumbusho ama. mbona mengine umejibu nasubiri jibu.

Mitumba Halisi said...

Hello, sorry for late reply, yaani data card ilikuwa inanisumbua kweli, sasa hivi vitu vingi vimeisha isha, nategemea mzigo mpya wiki ijao, bila shaka nitakutafut

nashukuru kwa kutembela blog hii.

sisi hatuko makumbusho, kwa sasa tupo hapa hapa online, au kama unakaa maeneo around mlimani city tunakufuata. tunategemea kufungua kijiwe mjini nyuma ya Vodashop Ohio.

karibu sana

Anonymous said...

nijibu vigauni

Anonymous said...

unapatika wapi na unasize 16

Anonymous said...

nimependa sana sana nguo zako je nitapata size 16&18?? na nitawapataje?? mie niko 0715284346

Anonymous said...

dada my namba 0715 343631 usije sahau kutuambia mzigo utakapo ingia jaman, kwn natamanijee?

Anonymous said...

hello, mzigo mpya waja lini???

Anonymous said...

now days umenitupa dada'ko jamani sijazeeka Tina niletee viwalo dada'ko nipendeze - Dada Shani

dada said...

Sada nguo zako nzuri sana hongera hususani magauni nimeyapenda sana unapatikana maeneo yapi hapa mjini nataka nije? Namba zangu za simu ni 0714693718

Unknown said...

We collect clothes across UK and owning a sorting facility in Lithuania.
We do African grades in small bags as well in big bales.
Origin - UK.
Prices and quantities are negotiable.

We have 1 container ready for East African market now.
A discount will be offered for winter mix orders.

Please feel free contacting us sales@second-handuk.com or visiting our factory at Europos pr. 77, Kaunas, Lithuania

Best regards,

Mr. Evaldas,
+370 652 96166