Handbags/Pochi











16 comments:

Anonymous said...

My dear hizi pochi naweza kupata moja... so nice one.

Anonymous said...

Mama jonathan.... nafuta spot wear unazo?

Mitumba Halisi said...

Hello ,waweza kupata handbag uipenday mamito, just give me a call or text me angalia number kwa mawasiliano

Sorry sina nguo za michezo zaidi ya skin tights tu kama unweza kutumia, ila track suits and so on sina,,,,,

Anonymous said...

NIMEKUTUMIA PICHA NATAKA HIO BLUE.. MAMA JONATHAN

mitumbahalisi said...

Nimeipata dia, utaipata pochi yako mamito

viola said...

tuwekee more hand bags please

mitumba halisi said...

nitaweka soon nikipata mzigo mpya ..karibu sana

Anonymous said...

NIMEIPENDA HIYO YA NNE TOKA JUU. JE NI SH NGAPI ? JE NI NGOZI TUPU AU MCHANGANYIKO.

Anonymous said...

duka lipo wapi? thn nikitaka kuagiza ntajuaje ka itanitosha? kazi njema.

Mitumba Halisi said...

Hello, pliz rejea page hapo juu imeandika Location/ Online shopping kwa maelezo zaidi. Karibuni sana

Anonymous said...

Hi mitumba halisi, kiukweli umenifurahisha sana, nimeipenda handbag ya dark blue tatu kutoka chini, unaweza niambia bei niipate leoleo?

Mitumba Halisi said...

Hello, sina uhakika kama wewe ndiye uliyenipigia simu just minutes ago or not, ila bag lipo sema deliver tayari ameshaondoka na mizigo mingine mpaka kesho utaipata, karibu sana , pliz txt me details zako au nipigie simu kesho nitakuwa around mlimani city nikupatie bag lako.

Anonymous said...

hello mitumba halisi hand bag ya pili kutoka juu yenye mikanda mirefu ni sh ngapi n ntaipataje niko arusha

Anonymous said...

HAND BAG YA NNE TOKA JUU NI BEI GANI NAIHITAJI

Anonymous said...

hello hiyo handbag ya nne toka juu ni bei gani?? naomba kama ipo nijibu

Anonymous said...

Jamani hand bag ziko wapi tena tunataka pls!!