Location


Wapendwa wateja wote,

Kutokana na ushauri wenu mliotupatia ya kuwa na selling point kwa wale waishio Dar wanaopenda kuja eneo la tukio na sio tu kununua online, 

Mitumba Halisi inafungua mzigo mara moja kwa mwezi , inafungulia Sinza Mori Opposite Big Born Petrol Station

Siku ya kufungua Mzigo wote mtajulishwa,na hapa katika blog tiutatangaza pia.

Mauzo ya online yataendelea pale pale, kwa wale washio mkoani au hata wanaoishi Dar lakini hupendelea zaidi online shopping.

Karibuni sana

4 comments:

Anonymous said...

hapo sawa

Anonymous said...

hapo mwake!

tiner said...

sasa nikinunu online nitajuaje km itanitosha maana wengine hatujui size zetu mpaka tupimishe nguo kbs...mkipata duka itakuwa nzuri zaidi jamani

Anonymous said...

mmeshafungua hiyo sehemu mliyo elekeza?