Vigauni vya kutokea :both dresses size 6 and sold for 16,000/=



Nature....God's gift to us






So I was going through the web and I came across this amazing photos and I thought I should share,,,, I know hapa Tanzania owning land kubwa hivi sio wote tuna uwezo huo,,,so what can we do to have such an amazing view at our houses,,,,hapo nikamkumbuka mamaa wa home deco Sylvia.....please keep on kutuelimisha,,it is such a relaxing place to be, pata picha you have just 3% of what you see katika picha on your own backyard or front yard ..........lazima ukaribishe wageni mpaka wakukome.......xoxo

Niliulizwa swali je mgaro mgaro mchana huvalika??? jamani jibu liko katika picha hizo...XOXO





A lilltle bit of lace can take you places......available at mitumba halisi for just 12,000/= for the top and 16,000/= for the dress



A Bientot,,,,,,,,ngoja nikutamanishe kiduchu

Hili duka liko Houston,,,,, so kwa wale mnaoishi  huko hamjafika muhimu kulitembelea, na kwa wale ambao husafiri mara moja moja pia weka katika to do list yako,,,,,,,,hili duka hata kama hutaki kushop lazima utapata ukipendacho hata kimoja am sure,,,,,,anyway Mitumba Halisi inawaandalia kitu karibu au kuzidi na hiki,,,wakina dada na mama mahala pa kujiachia at a very reasonable price,,,stay tuned 2012 ni mwaka wetu,,,moto utakuwa looking great with change in your pockets au siyo,,,,,,,XOXO