Vikolombwezo............











Vikolombwezo vinafanya hata outfit ya kawaida kuwa na certain statement, I must say it is a must to accessorize your outfit,,,najua mtanipinga wengine, ila asikwambie mtu,,,,nguo inapata mvuto wake wa pekee kabisa ikiwa na the right amount of accessories .......................

7 comments:

Anonymous said...

nakuunga mkono mitumba halisi,,,nashangaa wadada wengine wanatoka kwao watupuuu hata kacheni jamani,,,nguo zaoo hazina mvuto hata kidogo loooo,, sielewi kwanini karne hii mtu anashindwa kupendeza, sasa ukinyangaywa mume kisa kutojipenda utashangaa,,ndio maana tunatembea na waume zenu maana wenye waume wapo tu kama vibogoyo,,,hovyooooo,,hebu waeleze hao kabisa,,,mimi wananikera sana

Mitumba Halisi said...

ni kweli kuna wanawake wengi wakishaolewa wanajiachia kabisa, hata hereni hakumbuki au anaona haina haja, wanaume wanaishia kuangalia vingoli ambao kupendeza is a must,,,,hapo sasa

Anonymous said...

mwanamke kujipenda babu haijalishi umeolewa au umezaa kujidecorate ni muhimu asante mchangiaji wa kwanza umetuamsha maana baada ya kusoma comment yako nikajiangalia nikaona inakaribia kunihusu hahhahaah!

Anonymous said...

tatizo watu wanataka eti unanunua nguo ya mahela mengi halafu unategemea nguo kama nguo itarusha roho, nani kasema???????mwaya mitumba halisi tuuzie sisi tunajua kucheza na nguo,,kila siku watu wanadhani navaa nguo za mahela kibao kisa zinanitoa mwake ile mbaya, hawajui nikifika home napeleka kwa fundi kwanza shurti kukata kimino, then najitupia hereni cheni bangili za kutosha na kiatu wakati mwingine navaa cha viatuzi ila wakati mwingine hata vile vinanishinda maana bei iko juu sana so navaa tena mtumba safi,,,nikitoka wanaume wote udenda,,,haya we kalia na mijinguo yako ya laki na nusu ukipita hata hakuna anaye hangaika na wewe, kama kapita mwanaume mwingine, mtoto wa kike kuvutia bwana, umeolewa hujaolewa, kila saa kuweka roho ya mwanaume juu juu bila amani, utajiju !!!!!!!!!!

Anonymous said...

usilete za kuleta hapa, wanaume ni malaya tu, utamvalia weeee na bado atakula housegal,,,,vile viumbe ni kero tu,ilimradi tunawahitaji tufanyeje

Anonymous said...

hahhahaha nimecheka mpaka basi na kweli wanaume hawana maana ila pia si vizuri kujisahau kabisa kujipamba si hata kwa ajili ya wanaume hata kwa wewe kuwa smart

Anonymous said...

Nakubali,tumezidi kufanya vitu kisa mwanaume, kah,ndio maana hata tunaamuaga kuwa malesbian, wanaume huwa wanaboaaaaaa,maana hawaridhiki nakutufanya na sisi kutoridhika,,,tujirembe kivyetu vyetu mwaya