Nature....God's gift to us






So I was going through the web and I came across this amazing photos and I thought I should share,,,, I know hapa Tanzania owning land kubwa hivi sio wote tuna uwezo huo,,,so what can we do to have such an amazing view at our houses,,,,hapo nikamkumbuka mamaa wa home deco Sylvia.....please keep on kutuelimisha,,it is such a relaxing place to be, pata picha you have just 3% of what you see katika picha on your own backyard or front yard ..........lazima ukaribishe wageni mpaka wakukome.......xoxo

2 comments:

Sophie B. said...

Ni kweli lazima utarelax na kuwa na mazingira kama hayo sio gharama kwa kwetu ni utunzaji na ubunifu wako na vilevile bora kwa afya.Blog nzuri

Mitumba Halisi said...

shukran sana