A Bientot,,,,,,,,ngoja nikutamanishe kiduchu

Hili duka liko Houston,,,,, so kwa wale mnaoishi  huko hamjafika muhimu kulitembelea, na kwa wale ambao husafiri mara moja moja pia weka katika to do list yako,,,,,,,,hili duka hata kama hutaki kushop lazima utapata ukipendacho hata kimoja am sure,,,,,,anyway Mitumba Halisi inawaandalia kitu karibu au kuzidi na hiki,,,wakina dada na mama mahala pa kujiachia at a very reasonable price,,,stay tuned 2012 ni mwaka wetu,,,moto utakuwa looking great with change in your pockets au siyo,,,,,,,XOXO

























No comments: