Mitumba Halisi- nguo za jumla

Unataka kunnua nguo kwa jumla????? na ungependa kuuziwa kwa bei ya jumla ?????Mitumba Halisi inakuuzia nguo kwa bei ya jumla na unapata kuchagua peace uzipendazo.......karibu sasa


9 comments:

Anonymous said...

i'm a fan of your blog...

mitumba yako mizuri sana...

unanunua wapi? au umauza wewe?
kama mtu anataka reja reja tukupate wapi?

Mitumba Halisi said...

nipigie tu simu, nauza mimi mwenyewe,,,karibu sana

Anonymous said...

jumla inaweza kucost kias gan?

Mitumba Halisi said...

Thanks for being fans guys,,, well kwa jumla tunaelewana per peace dear

Anonymous said...

ndugu yangu mimi nauza mitumba ila yakawaida natamani sana kutoka kama wewe je naweza kuja kufungasha hapo kwako na kuja kuuza kwa mojamoja nikapata faida? please nijibu ila mail yangu usiitoe

Unknown said...

Mamba yako tafadhari

Unknown said...

Nahitaji nguo za jumla je! nikiwa na mtaji wa shilingi laki150,000 naweza fungua biashara yangu?

Unknown said...

Vipi mbona kimya nini shida mkuu

Unknown said...

Mbona kimya no yako naiomba samahani