Kwanini kuna watu wakivaa kiatu leo kinavutia vikirudiwa kesho yake havivutii tena??????????





Siri ya kiatu ni moja,,, nitunze nikutunze,,,hakuna kipya hapa,,kama kiatu chako haukitunzi na kukihifadhi na kukipa heshima inayostahili na chenyewe kamwe hakitadumu, kwa barabara za kwetu Tanzania, vumbi jingi sio kama huko kwa wenzetu lami mpaka mlangoni, so sharti kiatu kifutwe punde unapokivua na kukipanga vizuri visikwaruzane na viatu vingine,,,,,,picha juu inakuonyesha kabisa njia mbali mbali za kutunza viatu vyako,,,,dont spend money on shoes just to throw away the next day,,,,XOXO

No comments: