The brighter the better

Usiwe mwoga wa rangi kali kama neon (crazy colors) ila ujue tu namna ya kuzichanganya katika mavazi yako, the brither the better, na usizoee ya kila siku kuvaa nguo pattern moja ,mix it up na kuwa wa kujiamini na vazi lako,,,,,,,,,,niulize maswali nikujibu

No comments: