Naanza kuwaonjesha viwalo,,,,,, Ayman upo,, najua Romper zinakutoa roho,,,wahi yako sasa hivi




6 comments:

grace kijitonyama said...

wacha we ...... hayo ndo mambo sasa!

aym said...

Cha juu hicho jaman mmh roho yanipwita mie mitumba halisi uko juu

Mitumba Halisi said...

cha juu kinauzwa elfu 18,000 karibu ujipatie, ya nini kutoa mihela kibao na unapata mvuto ule ule kwa chee

Anonymous said...

mi cha chini rangi plain ipo? napenda sana mambo haya

Mitumba Halisi said...

Yes ipo nyeusi plain bila maua ua, very nice , nipe tuwasiliane

Mitumba Halisi said...

Ipo plain black bila maua maua