Mitumba Halisi imeleta nguo......endelea kuangalia








Huyu model wetu moja ni mwembamba so hizo nguo zingine tumezifunga nyuma ili zifit mbele kama ile midoli ya dukani, Nguo ni kubwa hizi size 10 mpaka 12   ,,,this is kwa wale wateja waliniambia nauza nguo za slim people only.

2 comments:

mim said...

nimependa sana

aym said...

mitumba halisi uko juu mama endelea kutupa vitu vya ukweli