Home GYM

Kina dada na wamama hata na wababa,,,,,,, najua sana wote tunapenda kuweka maoezi kama moja ya kitu lazima ufanye kila siku ila ndio hivyo wakati mwingine gym huwa iko mbali, unachelewa kutoka kazini, au hata unaona uvivu kuamka usiku wa manane kumuacha mtoto mdogo kisa gym, tena hasa wamama wenywe watoto wa kuanda shule asubuhi ndio kabisa huthubutu kumuachia dada kila kitu maana huyo mtoto wako mwishowe achakachuliwe lunch box, ebo

Nina suluhisho la kina dada/mama ambao wanapenda kufanya zoezi lakini ni heri kuifanyia nyumbani, kwa starehe zako muda uupendao na kupata ule mwili uutakao ,ukichanganya na diet aka jipe wiki sita uko lean hadi raha

Nunua sasa kupitia Mitumba Halisi Home Fitness Videos, ninazo za kila aina ,kuanzia fitness tu ya kawaidam ya matumbo ya kuburn fat,,,yoga, TAEBO,,, ushindwe wewe tu sasa








4 comments:

squiner said...

asante kwa kutukumbuka wenye miili yetu, sasa tunaweza kupata kwa shilingi ngapi? maana ndoa zetu zinavunjika huku kwa minyama uzembe

mim said...

mi nataka hiyo ya kuburn fat my dia

aym said...

jaman umejuaje maana hali si hali mm hiyo ya matumbo ndio muhimu haswaa

Mitumba Halisi said...

Press Order yako sasa nikutumie