Mariah Carey na babies wake wawili cuteeee, ila mimi bado niko katika mshangao,,hawa wazungu wanafanyaje wanarudi ndani ya miili yao ya zamani so shortly baada ya kujifungua? wengine tumezaa miaka kadhaa imepita na bado miili inagoma,,,,uwiiiiiiiiiiiii



Hapa Mariah carey so sexy,, hebu cheki tumbo hilooooo,, Namkubali sana
Dada wa watu kajifungua April 30th 2011 kama sijakosea, dah haya we,,noja tuendelee kukazana na mazoezi one day yes

2 comments:

Anonymous said...

usikate tamaa we si una zile cd?

Mitumba Halisi said...

Nipo napigana ,kila siku napiga zoezi kutoka katika zile DVD, kweli naona tofauti,