Nilijuaga Pink ni rangi ya kike tu,,,,,,,hata wanaume wanavaa full pink?

7 comments:

Anonymous said...

shoga hilo

Mitumba Halisi said...

ygtjhjhkl

mim said...

mpaka red lip stick

Anonymous said...

ingawa bright colours ziko on point kwa men, ila huyo mbona kajiremba sana au ndo vile?

aym said...

hahhah hadi lipstick balaa huyo na wasiwasi nae

Mitumba Halisi said...

Yaani hawa wanaume sasa watatushinda, na hii statement ya David Cameroon ndio kabisa, leo nimesikia redioni Mashoga wanataka kugoma, Haki za mashoga, haya tusikilizie serikali itasemaje.

aym said...

hehehe mbona kazi tunayo