Nakukubali 8020, na hii suruale ipo Mitumba Halisi katika rangi ya cream,, nzuri sana kwa mafashionista

3 comments:

Anonymous said...

naomba kufahamu namna yakukupata hizi nguo manake sioni sehemu duka lipo au kama ni biashara ya mkonono basi hata namba yako maana nimevutiwa na nguo pamoja na bei

Mitumba Halisi said...

Kwa sasa hivi ni biashara ya mkononi number zetu ziko hapo juu au ngoja nikuandikie hapa pia,, 0754710807, 0718662211

Duka litakuwa pale nyuma ya Vodashop ya Ohio

Anonymous said...

Thanks my dear.