Vigauni /Top dress vyote vinaenda kwa 18,000/= tu,,karibuni wateja,,,,,,,,




4 comments:

aym said...

mhh hicho cha mwisho kimekaa utamu ni full hiyo??

Mitumba Halisi said...

Yes, ni kigauni ,,,,,

Anonymous said...

Dada mimi niko mikoani itakuaje kama nikitaka? Nimeipenda kweli mitumba yako.

Anonymous said...

Hata mie nipo mkoani pia napenda mitumba yako....advice plz.... kama vipi ukitoa nguo nzuri na nimeipenda waweza kuituma baada ya mie kukutumia hela kwa M PESA?

Mdau Musoma