Mitumba Halisi on location

Wapendwa wateja wetu, Kutokana na kuongezeka kwa wateja na tatizo la mitumba ni kwamba unkuta una nguo moja inapendwa na watu 5, akipata moja wengine wanakosa na wanahisi pengine nina deliver nguo kwa upendeleo, basi Mitumba Halisi imeona ni vema mzigo mpya unapokuja uwe unafunguliwa mahala pamoja wateja wakutane na kununua, Mitumba halisi iko katika msako wa kutafuta eneo ambalo litafungulia mizigo yake ,,,,tutawataarifu punde tukiwa tayari kuifungua rasmi kwa wateja wetu wapendwa.

Tutaendelea bado kukuletea nguo popote ulipo kama kawaida ,, so kwa wateja wanaopenda kuletewa nguo bado tutafanya hivyo

No comments: