Nisaidieni hii blouse mbona kama kubwa??au ndio fashion alert ?Blauzi mabega yashuke mikononi? sijaipenda hii,,wadau nisaidieni

4 comments:

Anonymous said...

my dia mwenzangu naona kama oversize hapo

Anonymous said...

Hata mie nahisi shoga

mim said...

hapo cjapenda da blouse hata kidogo shosti..

aym said...

mmh hata haijampendeza kwa kweli