Nashukuru kwa picha Paskalina, umependeza nadni ya maternity dress yako kutoka Mitumba Halisi,,,,



3 comments:

Fununu founder said...

upo juu sana, partner wangu ! big up sana... wait ntakupa more maujuzi ..kuna more programs najifunza niki kaa poa ..i ll teach you

Anonymous said...

umependeza mdada na gauni lako, mitumba halisi tunaomba utuwekee sample zingine za maternity tujicgalie viwalo

Mitumba Halisi said...

Bila shaka nitawawekea picha zaidi ya magauni ya maternity ambayo bado yapo hayajanunuliwa