dressed by Mitumba Halisi

2 comments:

Anonymous said...

hivi kama mimi niko mkoanihalafu nahitaji nguo kutoka kwako nifanyaje?

Mitumba Halisi said...

Unaweza kupata nguo ukiwa mkoani,unasema umependa ipi, unavaa size gani, pima vizuri hips na kifua, unatuma hela kwa Mpesa sisi tunakutumia nguo popote ulipo