evening dress kwa shillingi 16,000/= tu jiwahie kigauni mwaya !!!!!!!!!!! na uzuri wa kigauni hiki kinashika eneo la maziwa kimuafaka,, hata bila sidiria nanihino zinasimama bila lawama kwa mtu.


1 comment:

mim said...

pendeza sana dada