Jeans Yes YES

Hivi ndio jeans inatakiwa ikukae mwilini na sio inalegea si kulegea mtu hata havieleweki,,,,,,so tafuta jeans ambayo inavutika hata kama hupendi jeans zinazovutika sana  basi chagua jeans ambazo zinavutika hata kwa mbaliiiiii na ni ngumu na sio lanini kama bigijiiii


Tatizo ya jeans laini na inavutika haishiki makalio na kuyapa lift kama inayotakiwa na badala yake ndo yanakuwa kama yamekandamiziwa na kulala, jeans ni kama sidiria , sidiria ngumu yenye mpira mgumu ndio hunyayua nyonyo, lasivyo ndio inakuwa mama nibebe na ziwa linalalia tumboni japo umevaa sidiria

1 comment:

mim said...

jeans imekaa pahala pake..