Mariah Carey ameshapungua and she had twins in what????ila dah hili gauni mbona kama la zamani sanaaaaa utadhani ni 1990


2 comments:

ab said...

ah hujajua fashion za zamani ndo zinarudi sasa hivi? she look so nice dah !

Mitumba Halisi said...

Really? Basi nitabidi nizilete mitumba halisi watu wajivinjari nazo