Nunua kanda za mazoezi kutoka mitumba halisi kuliko mchina, mdada huyu kafariki sababu ya kutumia madawa ya kuongeza maumbile

Naona dawa ilishaanza kufanya kazi, hips limekubali, poleni ndugu kwa msiba huu, mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peopni.

No comments: