Watoto wa 5 na ana tumbo dogo kuliko wenye watoto 0


neva give up after giving birth kuwa eti ndio habari  kushne,,,,,,, mimi huwa nawaambia all my friends funga tumbo funga tumbo, hata kama umejifungua kwa operesheni, funga tumbo, then watch what you eat, jamani nani kakwambia eti unanyonyesha basi ndio ule vyakula vya watu 5? au chipsi,bia,ugali, ma ulezi nk mtoto kweli anavihitaji hivyo? ukijifungua stick to a heathly balance meal, na iwe portion ndogo kula mara nne mpaka sita kwa siku, ila kula kiduchuduchu, na kula ukiwa na njaa sio sababu ni routine,,,,,,,,,,,,ukiwa bado ndani kufanya mazoezi ni ngumu, ila kwa wale waliojifungua kawaida then usiishie kulala na kufanyiwa kila kitu, kuwa active ndani ya nyumba na pumzika vya kutosha, kwa wale wa operesheni, baada ya kutoa nyuzi unaweza kabisa kuanza kutembea long distance taratibu. its all in your head, if you want to look gone haya we, ila ukitaka kuendelea kuwa na mwili wako mzuri hata kabla ya kubeba mimba then lazima uwe na principles katika maisha yako. hayo machache tu kutoka kwangu......xoxo

una swali ruksa kuuliza, am happy to help niwezapo tena buree, navyowapenda kina mama wenzangu......

2 comments:

Anonymous said...

we miss T.T....its doable but not easy, na huo mfano hapo juu huyu dada kafanya lipo sio bure.....im just saying but asante kwa kuwahamasisha wamama wenzako.....nice work overall with mitumba halisi, all the best

Mitumba Halisi said...

unayoyasema kweli, huyo mdada hapo juu inawezekana kabisa kapata msaada wa operation, ila it can be done, discipline is key