Pata picha first lady wetu wa Bongo apige kitu kama hicho?????

nina uhakika posho za wabunge, migomo ya madokta, shida za wabongo zote hazitazungumziwa tena, na hivi watanzania ni watu wa matukio,,,,,,,hili lingekuwa tukio lenyewe.........

No comments: