Make up brush zako unazitunzaje ?


Ukitaka muonekano huo, tafuta containr lolote la glass zaidi ndio itapendeza la urefu wowote ila uwe mfupi kuliko hizo make up brush zako, weka beads ndani, hizi beads zinapatikana mlimani city pale Mr. Price , tena unaweza kuweka beads za rangi mbali mbali kama unpenda then simamisha make up brush zako kama unavyoona katika picha katika picha hiyo hiyo utaona pia na wanja umesimamishwa huko nk wewe tu upendavyo, hii ni kila siku ukimaliza kujiremba badala ya kuzitupa tu juu ya dresing table au katika droo unazisimamisha hivyo,,,,,, jamani haijapendeza???? well, kama mtu ana njia zingine mbadala anataka kutueleimisha, uwanja ndio huu

No comments: