Rihanna Fashion No

Jamani Rihanna ndo kavaa nini sasa, lol, this is not my fave kabisaa, ila lately sijui Rihanna inakuwa vipi? sijamuelewa bado fashion choices zake, au ni rangi ya nywele ndio inamfanya asinoge?mmmmh


No comments: