Grey-ish matter

dressed by mitumba halisi

dressed by mitumba halisi

9 comments:

mim said...

beautiful mitumba halisi

Yasmin said...

mmependeza sana jamani so nice !

Anonymous said...

lovely bidadas

Anonymous said...

paale juu ni Tungaraza C

Anonymous said...

MIMI NAHITAJI HILO LA KWANZA NIPO IRINGA 0757825400, NITALIPATAJE? SAIZI RANGI HIVYO HIVYO

lilly said...

looking great tina

Anonymous said...

me nipo dodoma nataka gauni la pili nalipataje rangi na size the same. 0718 445859

Mitumba Halisi said...

Hello wapendwa wa Dodoma na Iringa , hayo magauni yote mawili yamenunuliwa , hao ni wateja wametuma niwarushe humu wakiwa wamevaa nguo za mitumba halisi, picha ambazo hazina vichwa ni nguo za kuuza, zenye sura tayari huwa ni wateja wamevaa nguo zetu. Karibuni sana

Tina T. said...

Senkyuuuu