Naomba hili gauni we Mzungu


Hii picha nimekutana nayo katika haya manet tunapita pita huko, kwakweli nimependa mnoooooo, gauni hili na nilipomuona mzungu kapiga kiwalo chake, nikasema dah laiti angelirusha bongo tungevaa sie mabonge bonge kidogo, maana mwenzetu slim fit, naona kama halijanoga mwilini kwake vile????? au ndio fashion za sasa kuvaa nguo mlegezo hata magauni????

No comments: