Pata blauzi yako from Mitumba Halisi










6 comments:

Anonymous said...

mambo. Me nataka iyo No1 n 5.
Kiasi gani

Emmy

Anonymous said...

nijibu bac, ila cjui navaa blauc size gani, Bt mwili wangu na umbile sawa na Sintah. Je ziztanitosha

Emmy

Mitumba Halisi said...

Hello, Sintah ni nani dia? ngoja nikuangalizie kama zipo hizo blauzi

Anonymous said...

yani cjui size yangu mpaka nitest, na kwakua cwezi kutest online nami nimezipenda hizo blauzi mbili ndio maana nikakwambia umbile langu ni km Sintah - msanii

mitumbahalisi said...

Yaani bahati mbaya sinta msanii simpati vizuri ila blauzi ya kwanza ni size ndogo kamahuyo dada aliyevaa na bado ipo mpenzi ya ttano ni kubwa kubwa ila haipo imeshanunuliwa.karibu sana

Anonymous said...

ASANTE DEAR