Mitumba Halisi ina kila aina ya blauzi, let us know what you want.........vyote vinapatikana





























6 comments:

Anonymous said...

Gmorning Mitumba Halis,

I need blauzi # 2 n 6.

naomba unambie kama zipo na kiasi gani.


Amy wa tazara

Mitumba Halisi said...

Hello Amy

Nlauzi number 8 ipo inauzwa 15,000, karibu sana

Anonymous said...

# 2 na 6 ndio nimezipenda na nazitaka hiyo # 8 cjaipenda kwa kweli.

amy

Mitumba Halisi said...

Pole love zimechuuliwa , ila napandisha picha mpya later today, usiacha kuangalia

Anonymous said...

MITUMBA HALIC NIMEKUOMBA UCPOST IYO COMMENT COZ INA EMAIL ADDRESS YANGU MBONA UMEPOST JAMANI. NAOMBA UITOE IYO COMMENT. NAKUOMBA SANA SANA MY DEAR.

AMY

Mitumba Halisi said...

Sorry, blog yangu ina post bila mimi kuruhusu au kutoruhusu,na nilivyo mshamba wa blog basi kasheshe, ngona najaribu jinsi ya kuifuta dear, very sorry