Mifano ya mishono waweza peleka kwa fundi akushonee .......





So,,, najua huwa tunapenda sana kununua magauni mtumbani au ya boutique, ila mnajua kuwa hata mafundi wanajua kushona kimwake mwake??? mimi huwaga naenda kariakoo natafuta kitambaa kizuriii, usione ubahili kuingia mfukoni kupata kitambaa ambacho hutakuta mtu uzwasi kila kona kapiga, then natafuta moshono simple simple sana ambayo najua nikiweka mkanda mzuri ,kiatu cha kufa mtu na handbag lazima upagawe wewe mwenyewe, ukweli ni kwamba mishono complicated mafundi wengi inawashinda  so aim simple design and good quality kitambaa, then ongeza vikolombwezo mwenyewe

No comments: