Mitumba Halisi inawaltea Magauni yafuatayo............









Msishangae magauni mengine yako kwa hanger,,,model  wetu anayevaa nguo za wanene wanene amekuwa mnene zaidi so kwa kipindi hiki tunapotafuta model mwingine nazionysha kwa hanger,ili msifikireie sina nguo za wanene,,,,,,,so nguo katika hange zote zinaanzia size 12 kwenda juu, karibuni sanaaaaa



2 comments:

Anonymous said...

nataka hilo gauni la kwanza nko dar,je ni bei gani na nitalipataje?

Mitumba Halisi said...

Hello Gauni la kwanza lilishauzwa, bei yake ilikuwa 35,000