ndani ya gauni na handbag ya Mitumba Halisi


2 comments:

Anonymous said...

u rock Christina. Kweli ni Mitumbahalisi. Tungehitaji zaidi blouse za ofisini hasa zile unaweza chomekea ili tutoke sop sop si unajua tena? na gauni kama hilo au liwe chini ya goti pia better zaidi kwa wafanyakazi wa mawizara fulani. Hongera mitumba halisi zikitoka tuwekee hapa tukutwangie kwa simu.

Mitumba Halisi said...

Thanks dia, bila shaka nitawaambia suppliers wangu wanitafutie nguo mnazonituma,, am here for you,,,