55% off ,,,, kwakuwa nguo zangu bei zake ziko wazi na zinajulikana rahisi kuamini nachosema ni rahisi. Mitumba Halisi iko kwa sale, nguo ni chache jiwahie nguo yako ,,,,,,,,,,xoxo

2 comments:

Anonymous said...

Habari dada,

Dada unaonaje ukituwekea hizo nguo na bei zake kwa sie tunaopenda mitumba tunaoishi mikoani. Tunapata tabu kweli wenzio hapa ofisini.

Mitumba Halisi said...

Mzima dear,

Nashukuru sana kwa kupitia blog hii ya mitumba halisi, mzigo mpya unakuja February kwa sasa nafanya tu sale na baadhi ya nguo nimeonyesha hapo, kila nguo unapata for 5000/= hizo zilizopo sale, nikiweka nguo huwa naweka na bei pia.karibu sana