Doctor's Bag


So this is the hottest it now,,,, kama unajijua unaweza kukamatia chako,basi huu ndio wakati muafaka, ila kama unajijua una mizigo mingi, kama huku umebeba laptop,mara lunchbox,umemshika mtoto mkono nk. basi hiki kibegi kitakukera tu, maana kitakuwa kama kamzigo kingine mikononi mwako,ila maybe ukitumie weekend ukiwa hauna makorokoro mengi yanayokuhitaji kubeba na mikono,,,ila vina uzuri wake ,,so the choice is yours na mazingira yako

No comments: