napendaje haya mambo jamani , sijapata maeneno bongo wanapoouza haya mambo mazuri ....help


2 comments:

Unknown said...

Try shopping online mah...asos.com collection yao ya accesories is killer! and they ship fast two weeks or three your goods are here also check ebay.

Mitumba Halisi said...

shoste mi mambo ya kununua online, bado ushambaaa, halafu nahisi nitaibiwa, nahitaji maombi, mimi mtu akileta akiniita nitanunua fasta ,ila kuagiza sijui naonaje vile