Helpppppp..........


so ,,,najua mjini hapa kuna maeneo kadhaa maarufu yanauza sidiria na chupi, ila kusema ukweli , bado    kabisa sijapata duka linalouza sidiria nzuri na chupi, tena bora chupi, sidiria ni mzozo mtupu, mara nyingi nadandia marafiki wanaosafiri nje nawatuma sidiria brand nzuri nzuri nazozifahamu, maana hizi za bongo uwiiii,,,plizz nijulisheni maeneo yenye sidiria nzuri na isiwe mtumba

2 comments:

Anonymous said...

nenda pale secret lingerie karibu na engene petrol station opposite tanesco mikocheni, hilo duka wana vitu vizuri sana. ni pale ilipokua kikis fashion.

Mitumba Halisi said...

thanks , nitapita niangalie , nina shida ya sidiria kinoma