Rangi zangu za kucha

Nina tatizo moja kubwa linanisumbua, nina rangi kibao za kucha ila huwaga sijui nizipange vipi, kwahiyo nwisho wake dressing table yangu inakuwaga vurugu tupu na naishia kuzitupa baada ya kutokuwa na mvuto mezani, After going through the website nikakutana na hii ,,,,,,,imenielimisha, thought I should share wenye tatizo kama langu, au wanaotaka simply to improve appearance ya dressing table zao......





1 comment:

Anonymous said...

Shosti, tuwekee kucha zenyewe zinavyofanania