Pata Blauzi wapenzi wa Mitumba Halisi............













1 comment:

Anonymous said...

top ni nzuri sana kwa ofisi, lakini hazijatendewa haki na modo kiasi kwamba zinapoteza mvuto. Jaribu kumwambia modo atoe pozi haswaa avae sket/suruali na achomekee ionekane kiofisi na kama anataka asionekane sura basi mradi tuone jinsi nguo ilivyokaa kwenye kuchomekea au pasipokuchomekea pia ipigwe pasi kwani zingine ukiwekaga zinakuwa zimekunjamana kiasi kwamba zinapoteza mvuto. ni ushauri tu DADA CHRISTINA