Suruale miguu mipana zinapendeza mno kwa mdada yeyote mwembamba au mnene, na kwa wadada wenye mahips haswa hizi ndio suruale zenu, ukipiga na kiatu kirefu ,,aaah swafiii sanaaa


2 comments:

Anonymous said...

I LOVE SUCH TROUSERS!UKIWA NAZO SAIZI 16 TUSHTUANE

Mitumba Halisi said...

Bila shaka