MITUMBA HALISI INARUDI KWA FUJO

Habari wateja, Duka lako la mitumba halisi linarudi kwa nguvu sana hapa hapa online , mzigo wa kufa mtu umetua kwaajili yako, usichoke kubofyoa humu kuangalia launch date (siku ya mauzo rasmi) ujiwahie nguo bei poa na za kisasa, Mwanamke usipendeze sababu zako za binafsi ila sio sababu huna hela , Nguo zinauzwa bei nzuriiii ,na sababu tunafahamu uchumi umekuwa mgumu tunahakikisha duka hili haliuzi nguo kitamaa kabisa

No comments: