Blouse za wakina dada kwaajili ya kazini hata casual wear,,, Bei ni kuanzia 12,000 mpaka 15,000





2 comments:

sharifa said...

nimependa sana nguo zako, tatizo ni kwamba nguo nyingi naona za watu wembamba sisi wanene inakuwaje ? plz tutafutie na sisi tuwekee

sharifa, CRDB MAFUTA HOUSE
tuwasiliane kwa namba 0652208220

Mitumba Halisi said...

na za wanene zipo dada sharifa, ila model wetu ni mwembamba, ngoja nitafute model mnene pia awe anaonyesha nguo hapo